Training on clean cooking fuel on earth day 2023

 In celebration of Earth Day, Green Awareness Club organized an Practical training for Secondary School Students. 

In Ilala secondary school (Dar es salaam, Tanzania)




In Lupeta Secondary School (Mbeya Tanzania)



Training on how to make alternative charcoal (briquettes) from various wastes produced in the street, in order to reduce the cutting and damage of forests and the environment as a result of cutting down trees for firewood and charcoal for cooking energy.


//Kiswahili


Katika kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani (Earth Day), Green Awareness Club tuliandaa tukio la uelimishaji wa vitendo kwa Wanafunzi wa Shule ya sekondari Ilala.


Mafunzo ya namna ya kutengeneza Mkaa mbadala (briquettes) kutokana taka taka mbalimbali zinazo zalishwa mtaani, ili kupunguza ukataji na uharibifu wa Misitu na Mazingira utokanao na ukataji Miti kwaajili ya kuni na Mkaa kwaajili ya nishati ya kupikia.